Agosti 30, 2016: CHESA wanafungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga taarifa ya Msajili wa NGO kutaka kuzifutia usajili, na upekuzi na uchukuaji wa vitu uliofanywa na Wizara ya Afya katika ofisi za CHESA, kuwa ni kinyume na katiba.[15]
Tarehe 30 Agosti, CHESA ilifungua kesi ya kikatiba ikidai kwamba uvamizi ule ulikiuka uhuru wake wa kukutana na kuomba pingamizi dhidi ya juhudi zozote zile za kuwafutia usajili.[179] Kashiha aliiambia Human Rights Watch kwamba Mahakama Kuu iliunga mkono pingamizi, na CHESA waliweza kuendelea kufanya shughuli zao wakati kesi yake dhidi ya serikali ikiendelea.[180]
Katiba Ya Chadema Pdf 291
Kipengele cha 16 katika Katiba ya Tanzania pia kinalinda haki ya faragha.[278] Hakuna mtu ambaye amewahi kuleta kesi mahakamani Tanzania ili kujua iwapo kipengele hiki kinaweza kutumika katika kulinda haki ya wanaoshiriki ngono kwa faragha, lakini mahakama inaweza kuona kwamba sheria zinazopiga marufuku ngono baina ya washiriki wa jinsia moja ambao ni watu wazima waliokubaliana ni ukiukaji wa katiba. 2ff7e9595c
Comments